Orodha kamili ya washindi wa tuzo za AFRIMA 2017

Zoezi la ugawaji wa tuzo za muziki za AFRIMA (All Africa Music Awards) kwa mwaka 2017 limehitimishwa jana nchini Nigeria katika Hoteli ya Eko.Mastaa kadhaa wameweza kujishindia tuzo hiyo kubwa ya muziki kama vile Wizkid, Simi, M.I, Tiwa Savage, Ycee, Orezi, 2Baba, Alikiba na wengineo.
Kwa upande wa Wizkid aliondoka tatu ambazo ni Song of the Year, Artist of the Year & Best West African Act (Male), na kwa msanii Alikiba aliondoka na tuzo mbili Best Africa Collaboration na Best Artist or Group in Africa RnB and Soul.
Orodha kamili ya washindi;
Best Central African Act (Male) – Locko
Best Central African Act (Female) – Montess
Best East African Act (Male) – Eddy Kenzo
Best East African Act (Female) – Nandy
Best Southern Africa Act (Male) – Emtee
Best West African Act (Male) – Wizkid
Best West African Act (Female) – Tiwa Savage
Best African Collaboration – Alikiba feat M.I – “AJE“
Best Artist in African Rock – Gilad Millo (Kenya)
Best Artist or Group in African RnB & Soul – Alikiba feat. M.I – “AJE“.
Best Artist or Group in African Contemporary: DJ Tunez feat. Wande Coal – “Iskaba“
Best Artist or Group in African Raggae & Dancehall – 2Baba – “Holy Holy“
Best Artist or Group in African Hip Hop – Ycee – “Juice“
Best Artist of Group in African Pop – Toofan
Video of the Year – Orezi x Adasa Cookey – “Cooking Pot“
Best Female Artist in Inspirational Music: Asikey George
African Songwriter of the Year – Simi
Producer of the Year – DJ Coublon for Seyi Shay’s “Yolo Yolo“
Artist of the Year – Wizkid
Song of the Year – Wizkid feat. Drake – “Come Closer“

Comments

Popular posts from this blog