BREAKING : MBUNGE WA JIMBO LA SONGEA MJINI AFARIKI DUNIA
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Taarifa zimetufikia asubuhi hii,zikieleza kuwa aliyekuwa Mbunge wa
jimbo la Songea Mjini,Mh Leonidas Gama amefariki Dunia usiku wa kuamkia
leo.Mbunge wa Songea Mjini Leonidas Gama amefariki dunia usiku wa
kuamkia leo katika hospitali ya Peramiho alikokuwa anapatiwa matibabu.
Marehemu alipata kuwa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro na Mkuu wa wilaya
kadhaa zikiwemo Ilala, Muheza, Nachingwea, Newala na Mbeya.Tunaendelea
kufuatilia kwa ukaribu zaidi wa taarifa hiyo.MUNGU AILAZE ROHO YA
MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMINA
Picha za msichana zavuja mtandaoni kisa ni tabia yake ya kubadilisha wamaume kama nguo, ndipo jamaa akaamua kumpiga picha na kuzitupia katika mtandao KAMA UTAPENDA HIZI PICHA BONYEZA HAPA ILA NI WATU WAZIMA TU 18 + BOFYA HAPA PICHA 1 BOFYA HAPA PICHA 2 BOFYA HAPA PICHA 3 BOFYA HAPA PICHA 4
Picha chafu za msanii nyota wa bongo movie Edward Tem “Nick” zimevuja zikimuonesha akiwa na wanawake zaidi ya watano wakimchezea nyeti zake. Ikumbukwe kwamba wiki kdhaa za nyuma jamaa huyo aliwahi kufumaniwa gesti na msanii mchanga wa kike ambaye ni mke wa mtu na sakata hilo liliishia kituo cha Polisi baada ya msanii huyo kuridhia kumlipa mwenye mke kiasi cha shilingi laki tano.
Comments
Post a Comment