WEMA SEPETU AMSHUKIA VIKALI SOUD BROWN,AMPA MAKAVU IKISA MAMA YAKE
There is Limits to everything jamani… Sipendi kabisa wen people
involve my Mother kwenye mambo ambayo hata hayamuhusu… Niachie mama angu
Soudy… I dont like it wen u bother her like dat only for u to record
her alafu uje kumuanika like this…
Hivi kwani @soudybrown huna mama wa kumfanyia hivyo unavyofanya… Sasa basi jus like da way huwezi mfanyia mama ako basi usiwafanyie na mama wa wenzako… Have some Respect atleast… Like I said kuna limits katika kila kitu… Hayo mambo yako ya Shilawadu yabaki huku kwetu vijana..
Wazazi tuwaache kama walivyo… Umenikera sana kwakweli… Sijapenda hata kidogo.
Comments
Post a Comment