RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI WA NAFASI MBALIMBALI ZA WAKUU WA MIKOA,MABALOZI NA MAKATIBU WAKUU
Rais Magufuli
Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa
Mkoa wa Manyara – Mkuu wa Mkoa ni Alexandar Pastor Mnyeti (Alikuwa DC wa Arumeru)
Mkoa wa Rukwa – Mkuu wa Mkoa ni Joachim Leonard Wangabo (alikuwa DC wa Nanyumbu)
Mkoa wa Geita – Mkuu wa Mkoa ni Bwana Robert Gabriel Lughumbi (alikuwa DC wa Korogwe)
Mkoa wa Mara – Mkuu wa Mkoa ni Adam Kigoba Ally Malima (aliwahi kuwa kwenye baraza la mawaziri awamu ya nne)
Mkoa wa Dodoma – Mkuu wa mkoa ni Bi. Christine Solomoni Mndeme (alikuwa DC wa Dodoma Mjini)
Mkuu wa Mtwara – Gelasius Gasper Byakanwa (alikuwa DC wa Hai)
Uteuzi wa Mabalozi
Dr. Aziz P. Mlima – Amekuwa Balozi (alikuwa Katibu Mkuu wizara mambo ya nje)
IGP Mtaafu Ernest Mangu – Amekuwa Balozi
Hawa Vituo vyao vya kazi vitatangazwa
Uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu wao
Ofisi ya Rais Ikulu – Katibu Mkuu Alifayo Kidata
Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na utawala Bora – Katibu Mkuu Dr. Lawrian Ndumbaro
Naibu Katibu Mkuu – Bi. Dorothy Mwaluko
Ofisi ya Rais TAMISEMI – Katibu Mkuu Eng. Mussa Iyombe
Naibu Katibu Mkuu (TAMISEMI Afya) – Zainabu Chaula
Naibu Katibu Mkuu (TAMISEMI Elimu) – Dickson Nzunda
Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira – Katibu Mkuu Eng. Joseph Kizito Manongo (alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo hiyo)
Naibu Katibu Mkuu – Bi. Butamo Kasuka Philipo
Ofisi ya Waziri Mkuu
Kazi na Ajira – Katibu Mkuu Erick Shitindi
Bunge na Waziri Mkuu – Katibu Mkuu Bi. Maimuna Tarishi
Sera – Katibu Mkuu Faustine Kamuzora (amehamishwa kutoka ofisi ya makamu wa rais)
Wizara ya Kilimo – Katibu Mkuu Eng. Mathew Mtigumwe
Naibu Katibu MKuu – Dr. Tomas Didim Kashilila
Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Mifugo – Katibu Mkuu Dr. Maria Mashingo
Uvuvi – Katibu Mkuu Dr. Yohana Budeba
Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano
Uchukuzi – Katibu Mkuu Dr. Leonard Chamuriho
Ujenzi – Katibu Mkuu Eng. Joseph Nyamuhanga
Mawasiliano – Katibu Mkuu Dr. Maria Msasabo
Naibu Katibu Mkuu Mawasiliano – Eng. Adelina Madete
Wizara ya Fedha na Mipango – Katibu Mkuu Dotto James Mgosha
Naibu Katibu Mkuu Utawala – Bi. Suzan Mkapa
Naibu Katibu Mkuu Fedha za Nje – Bi. Amina Shaaban
Naibu Katibu Mkuu Sera – Dr. Hakingu M. Kazungu
Wizara ya Nishati – Katibu Mkuu Dr. Hamis Mwinyimvua (Anatoka ofisi ya Waziri Mkuu)
Wizara ya Madini – Katibu Mkuu Prof. Saimon S. Msanjila (alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu)
Wizara ya Katiba na Sheria – Katibu Mkuu Prof. Sifuni Mchome
Naibu Katibu Mkuu – Bwana Amon Mbanju
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki – Katibu Mkuu Prof. Adolph Mkenda (ambaye ni Mchumi, anatoka Wizara ya Biashara na Uwekezaji)
Naibu Katibu Mkuu – Balozi Ramadhan Muomba Mwinyi
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa – Katibu Mkuu Dr. Florence Nduruka
Naibu Katibu Mkuu – Bi. Emmaculate Peter Ngwale
Wizara ya Mambo ya Ndani – Katibu Mkuu Meja Jenerali Projest Rugasira
Naibu Katibu Mkuu – Balozi Hassan Simba Yahaya
Wizara ya Maliasili na Utalii – katibu Mkuu Meja Jenerali Gaudens Melanzi
Naibu Katibu Mkuu – Dr. Aloyce Nzuki
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Katibu Mkuu Bi. Dorothy Mwanyika (alikuwa Naibu Katibu Mkuu wizara ya Fedha)
Naibu Katibu Mkuu – Dr. Moses M. Kusiluka
Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji – Katibu Mkuu Prof. Elisante Ole Gabriel (ametoka wizara ya habari)
Naibu Katibu Mkuu (Viwanda) – Bwana Ludoviki Nduhie
Naibu Katibu Mkuu (Biashara na uwekezaji) – Prof. Joseph Bunjweshaiya
Wizara ya Elimu – Katibu Mkuu Dr. Leonard Akwelapo
Naibu Katibu Mkuu – Dr. Epifan Mdoe (anatoka Wizara Ya Madini)
Naibu Katibu Mkuu – Dr. Avie-Maria Semakaf
Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto
Katibu Mkuu (Afya) – Dr. Mpoki Ulisubisya
Katibu Mkuu (Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto) – Bi. Sihaba Nkinga
Wizara ya Habari Utamaduni Usanii na Michezo – Suzan Paul Mlawi (alikuwa Naibu Katibu Mkuu Utumishi)
Naibu Katibu Mkuu – Bwana Nicolaus B. William
Wiazra ya Maji na Umwagiliaji – Katibu Mkuu Prof. Kitila Mkumbo
Naibu Katibu Mkuu – Eng. Emmanuel Kalomelo
Comments
Post a Comment