RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA DARAJA LA WAENDA KWA MIGUU LA FURAHISHA JIJINI MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella pamoja na viongozi mbalimbali akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha liliopo jijini Mwanza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi mbalimbali akivuta utepe kwenye jiwe la ufunguzi kuashiria ufunguzi wa wa Daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha liliopo jijini Mwanza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa mara baada ya kufungua daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha jijini Mwanza.

Sehemu ya wananchi waliohudhuria ufunguzi wa daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha jijini Mwanza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi kabla ya ufunguzi wa daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha jijini Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akipiga ngoma na kikundi cha ngoma za asili cha jijini Mwanza mara baada
ya ufunguzi wa daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia pamoja na wananchi waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa wa daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha jijini Mwanza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wakati akiwaaga mara baada ya ufunguzi wa Daraja hilo la Furahisha.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwapungia mkono wananchi waliopo chini
ya Daraja la Furahisha(hawaonekani pichani ) Mara baada ya ufunguzi wa
daraja hilo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame
Mbarawa kabla ya ufunguzi wa daraja hilo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwaaga wananchi katika eneo la Daraja
la Furahisha jijini Mwanza mara baada ya ufunguzi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
na mkewe Mama Janeth Magufuli wakipanda ngazi za Daraja hilo jipya la
Furahisha jijini Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella mara baada ya
kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akimpongeza mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Miundombinu kutoka
chama cha CUF Zuberi Kuchauka mara baada ya kuhutubia wananchi katika
eneo la Furahisha jijini Mwanza.
Sehemu ya Daraja la Furahisha. PICHA NA IKULU.
Comments
Post a Comment