Mganga Mkuu Afunguka Kuhusu Vifo vya Watoto Wachanga 9
Akizungumza
na mwandishi wa habari wa East Africa Television, Dkt. Timoth amesema
kwamba watoto waliofariki walikuwa wanne na sio 9 kama inavyoelezwa
kwenye taarifa iliyosambaa mitandaoni, na wamefariki kwa matatizo
mengine lakini sio kukatika kwa umeme.Dkt. Timoth ameendelea kwa kueleza kwamba moja ya sababu iliyofanya watoto hao kufariki ni mama kuchelewa kufika hospitali kujifungua kwa kuwa alijifungulia nyumbani, pamoja na hatari kubwa wanazopata watoto njiti.
Comments
Post a Comment