MASKINI LULU,MANGE KIMAMBI AMSHAMBULIA MTANDAONI KUHUSU KESI YAKE


Mnajua watanzania mna double standards sana! Juzi juzi a lot of you mlikuwa mnamsapoti Magu kuwafukuza shule watoto wanaopata mimba wakiwa shule, kina Mange tukawa tunawatetea kuwa wale ni Watoto hawaju wafanyalo nyinyi mkawa mnasema kama wameweza kuvua chupi sio watoto acha wafukuzwe ila leo kwa Lulu mnasema alikuwaga mtoto Kanumba alikuwaga anambaka. Mnaona jinsi mnachekesha? Watoto wa maskini kufukuzwa shule sababu ya mimba sio Watoto ila mtu maarufu kuuwa bila kukusudia mnasema ni mtoto, so stupid.
.
Anyways, let me be truthful why nimeshindwa kuwa na huruma na Lulu au upande wa Lulu. Sababu ni jinsi tu alivyoishi her life the last 5 years. Hakuonyesha hata chembe ya regret for what happened.Mostly hakuwa na huruma na familia ya marehemu. Lulu alitakiwa afikirie kuwa yeye ndio sababu Kanumba hayupo duniani leo, angeonyesha ubinadamu na utu kwa kumsaidia mama wa marehemu ambae alikuwa anamtegemea mwanae kwa kila kitu. Angalau angeonyesha remorse kwa kumjali yule mama lakini soon as kesi yake ilipoisha hakuwa na time nae kawaacha wagange njaa yeye anakula maisha tu. Hata salamu hawapi wakati yeye ndo kawaondolea mtu aliekuwa anawasadia.Yote Tisa 10 issue ya Lulu kushindwa hata kwenda kaburini kwa Kanumba siku ya Kanumba day pale ndo niliposema huyu msichana hana ubinadamu.
.
.
Binadamu wa kawaida angejihisi ana deni kubwa kwa familia ya marehemu sababu yeye ndio kasababisha kifo cha mpendwa wao hata kama nikwa bahati mbaya, so at least huyu mnaemuita mtoto alitakiwa kujua ana deni kwa familia ya marehemu. .
.
Hivi mtu unaanzaje kuwa na huruma na Lulu wakati yeye hana huruma na wale aliowaletea majonzi makubwa?? Hivi mmewahi hata kumsikia Lulu anafanya kumbukumbu ya Kanumba? Basi asifanye angalau ashiriki kumbukumbu yake…. Lulu is cold, doesn’t care about what she did to that family. Like nothing ever happened! Sio sawa jamani..
.
.
.Mnaonasema namchukia Lulu ningemchukia ningeongea na issue ya marehemu Seki. Eti Seki alikuwa kwake anamwokoa mtoto asidondokee meza ya glass ndo akaangukia yeye ndo akafa? Embu kaeni kimya nyinyi. Lulu has gotten away wit

Comments

Popular posts from this blog