JAMAA ALIYEOA NG,OMBE INDIA MAZITO YAFICHUKA ,SIRI NZITO NDANI YAKE
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
GUJARAT, INDIA - MARCH, 2016: Arjun,
a bull, is dressed and made ready for his wedding to Poonam, a cow, in
Ahmedabad city in Gujarat, India.
The wedding of Poonam (cow) and Arjun (bull) was solemnised by priests
according to Hindu rituals. Vijay Parsana, 44, organized a grand wedding
for his Gir cow, Poonam with Arjun, a bull. He spent lakhs to adorn the
cow in a sari and gold jewellery. To welcome the first offspring of the
cow the 'parents' of the bull came with sweets as the calf named
Saraswati turns one month old.
Pictures supplied by: Cover Asia Press
Unaambiwa ukistaajabu ya Musa, utaona ya firauni! basi firauni
kapatikana. Baba mmoja mfugaji nchini India amewatelekeza mkewe na binti
zake wawili kwa kudai kuwa hana furaha kuishi nao kwenye nyumba moja na
kuamua kufunga ndoa ya kifahari na Ng’ombe. Baba huyo aliyetambulika
kwa jina la Vijay Parsana (44) amechukua uamuzi huo baada ya kukosa
faraja kutoka kwa mkewe akidai kunyanyaswa na familia yake.
Parsana amesema hata alivyokuwa yupo kwenye ndoa na familia yake
alikuwa akikaa na ng’ombe muda mwingi akifanya nao mazoez, pamoja na
kuwaogesha kila siku huku akitumia mkojo wa ng’ombe kama chai kila
asubuhi na jioni.
Baba huyo aliyeitelekeza familia yake katika kijiji cha
Ahmedabad, na kukimbilia katika tarafa ya Sarawat mjini Gujarat nchini
India, amedai kwa sasa ameisahau kabisa familia yake na maisha yake yote
anaamini kuwa alizaliwa kuishi na wanyama.
Mapema mwezi julai mwaka huu Bwana Parsana aliwashangaza
watu nchini India alipochukua uamuzi wa kufunga ndoa na ndama wawili
wakike, kwa kutumia dola $20,000 ambapo kwenye harusi hiyo alialika
marafiki na ndugu wapatao elfu tano. “
Ng’ombe wangu nawapenda sana upendo wangu kwao hauelezeki hakuna
nimpendae zaidi ya wanyama wangu, huwa nikiwa nao kitandani nasahau
shida na mateso yote duniani, tayari tumetengeneza uhusiano mzuri na
naona kama wanafamilia wangu wapya na hata mke wangu amekubali niendelee
kuishi hivi baada ya kugundua naishi kwa amani kuliko nilivyokuwa nae,
kwani wamekubali na wanatambua upendo wangu kwa wanyama ndio maana
tukatengana“,amesema Bwana Vijay Parsana kwenye mahojiano yake na gazeti
la Ahmedabad Mirror.
Bwana Parsana kwa sasa anamiliki Ng’ombe 50, mbwa sita, Sungura
15, Tausi 8 na nyoka 3 na hutumia dola $5,000 kila mwaka kwenye sherehe
ya wanyama wake pindi wanapotimiza miaka ya kuzaliwa. “Hawa ng’ombe
nawaheshimu sana kama mama yangu, utajiri wote huu nilionao nimeupata
kutoka kwa hawa ng’ombe sioni taabu kuwatengenezea sehemu nzuri ya
kulala,“amesema Parsana.
Mkewe na Bwana Parsana, Bi. Geeta Parsana wakati wapo kwenye
mahusiano alifikiri mmewe amepatwa na kichaa baada ya kuongeza upendo na
ng’ombe wake kiasi kwamba huenda nao hadi kwenye mazoezi. “Nilianza
kumuon kama chizi alipoanza kutembea na ng’ombe hadi kwenye mazoezi
kipindi tukiwa wote alikuwa mnyonge sana akikosa kuwaona ng’ombe wake
tulipotengana baada ya miaka miwili alionekana mwenye afya tele na
mafanikio makubwa kiuchumi basi haikuwa bahati kuwa naye nasisi kama
familia tunafurahi kumuona akiwa na afya,“amesema Bi. Geeta Parsana.
Mpaka sasa bado hakuna taarifa rasmi kutoka kwa
serikali ya India kuhusu maamuzi hayo ingawaje sheria nchini humo
zinaruhusu watu kuishi na wanyama pori kama Tembo nk.Tazama baadhi ya
picha za matukio mbalimbali ya maisha ya Bwana Parsana (Photo Credit-
CAP) Bwana Parsana akiwa kwenye gari na ng’ombe wake siku ya sherehe za
harusi
Picha za msichana zavuja mtandaoni kisa ni tabia yake ya kubadilisha wamaume kama nguo, ndipo jamaa akaamua kumpiga picha na kuzitupia katika mtandao KAMA UTAPENDA HIZI PICHA BONYEZA HAPA ILA NI WATU WAZIMA TU 18 + BOFYA HAPA PICHA 1 BOFYA HAPA PICHA 2 BOFYA HAPA PICHA 3 BOFYA HAPA PICHA 4
Picha chafu za msanii nyota wa bongo movie Edward Tem “Nick” zimevuja zikimuonesha akiwa na wanawake zaidi ya watano wakimchezea nyeti zake. Ikumbukwe kwamba wiki kdhaa za nyuma jamaa huyo aliwahi kufumaniwa gesti na msanii mchanga wa kike ambaye ni mke wa mtu na sakata hilo liliishia kituo cha Polisi baada ya msanii huyo kuridhia kumlipa mwenye mke kiasi cha shilingi laki tano.
Comments
Post a Comment