Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akisalimiana na waandishi wa
habari wa mkoa wa Mbeya, aliokutananao Ofisi ya Mkuu wa mkoa huo leo,
IGP Sirro, yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi ya kuzungumza na maofisa
na askari wa Jeshi hilo na kuona changamoto zao na namna ya kuwasaidia.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, Katibu Tawala mkoa wa Mbeya,
Mariam Mtunguja na kamanda wa Polisi mkoani humo (DCP) Mohamed Mpinga,
wakiwa katika picha na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa
baada ya kikao kazi cha kubadilishana uzoefu katika kazi
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akikagua gwaride maalumu
aliloandaliwa kwa ajili yake alipowasili mkoani Mbeya kwa ziara ya
kikazi yenye lengo la kuzungumza na maofisa na askari wa Jeshi hilo na
kuona changamoto zao na namna ya kuwasaidia.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na askari wa
kikosi maalumu cha kupambana na uhalifu wa kutumia silaha za moto cha
mkoa wa Mbeya, akiwa kwenye ziara ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na
maofisa na askari wa Jeshi hilo na kuona changamoto zao na namna ya
kuwasaidia.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, Jana alizungumza na
askari wa kikosi maalumu cha kupambana na uhalifu wa kutumia silaha za
moto cha mkoa wa Mbeya, akiwa kwenye ziara ya kikazi yenye lengo la
kuzungumza na maofisa na askari wa Jeshi hilo na kuona changamoto zao na
namna ya kuwasaidia.
IGP Sirro, pia alikagua gwaride maalumu lililokuwa limeandaliwa kwa
ajili yake alipowasili mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi yenye lengo la
kuzungumza na maofisa na askari wa Jeshi hilo
Comments
Post a Comment