
Rais John Pombe Magufuli.
Siku kama ya leo, Oktoba 29, 1959, Rais John Pombe Magufuli
alizaliwa. Kampuni ya Global Publishers, uongozi na wafanyakazi wote,
wanakutakia heri ya siku ya kuzaliwa. Tunakuombea Mungu akulinde, akupe
afya njema na kuendelea kuwatumikia Watanzania katika kipindi cha
uongozi wako.
Comments
Post a Comment