Dida: Sijawahi Kuhongwa Chochote Na Mwanaume


Khadija Shaibu ‘Dida’.
MTANGAZAJI wa redio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amefunguka kuwa katika maisha yake hajawahi kuhongwa chochote na mwanaume, mafanikio yake

utafutaji kwa sababu hapendi kupewa wala kujibweteka anapambana na ataendelea kupambana kwani anaamini mwanaume hawezi kumfanya awe na maendeleo.

na kujikuta hawana thamani tena, jamani pambaneni mbona inawezekana wanawake kufanikiwa bila kuwatumia wanaume na miili yetu!” alisema Dida.

Comments

Popular posts from this blog