Diamond Platinumz awagaragaza Davido na Wizkid Afrimma 2017
Msanii wa muziki Bongo, Diamond ameibuka mshindi baada ya
kunyakuwa tuzo ya Afrimma katika kipengele cha Best Artist of The Year.
Tuzo hizo ambazo zimetolewa usiku wa kuamkia leo Taxes nchini Marekani,
Diamond amewashinda wasanii kadhaa wakubwa wa Afrika kama
Davido na Wizkid ambao walikuwa wakiwania tuzo hiyo katika kipengele kimoja kama inayonekana hapa chini; Artist of The Year Flavour (Nigeria) Diamond Platnumz ( Tanzania) Fally Ipupa- Congo Wizkid (Nigeria) Cassper Nyovest (South Africa) Davido – (Nigeria) Eddy Kenzo – Uganda Tekno – Nigeria Mr Eazi – Nigeria C4 Pedro – Angola
Comments
Post a Comment