BREAKING NEWS : AJALI MBAYA YA GARI NA TRENI TANGA LEO
Gari
iliyokuwa kuwa imepakiza watoto imezima kwenye kivuko cha Kwaminchi na
kugongwa na treni. Watoto wawili waliokuwa wamekaa mbele walinusurika
kifo baada ya dereva kuwaambia waruke, ila waliumia na kukimbizwa
Hospitali.
Comments
Post a Comment