Mbunge Mteule Viti Maalum CUF, Bi Hindu Mwenda Azikwa
Mwili
wa marehemu Mbunge Mteule Viti Maalum Cuf, Hindu Mwenda, aliyefariki
nyumbani kwake Kibada Kigamboni ukiwasili makaburi ya Kisutu Dar leo.
Maziko yakiendelea.
Sheikh (kulia) akifanya maombi baada mazishi.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba (katikati) akiwa katika mazishi hayo.
…Akiongea na wanahabari baada ya maziko.
Sheikh aliyeongoza mazishi hayo aliwahimiza wanachama wa Cuf kuendeleza upendo na kufanya kazi kwa ushirikiano ambapo miongoni mwao ni mwenyekiti wa chama hicho anayetembuliwa na Msajili wa Vyama, Profesa Ibrahim Lipumba.
Lipumba alimsifia marehemu akisema alikuwa anajituma katika kazi zake na alikuwa mwanachama shupavu na alikuwa mfano kwa wanachama wengine wanaokipenda chama hicho.
Comments
Post a Comment