HAMISO MOBETTO AFUNGWA MDOMO,KISA KUZAA NA MSANII

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, mama Mobetto alisema kuwa, yeye kama mama anasikia uchungu kuona mwanaye huyo anavyosengenywa, lakini kwa busara amemtaka kutofungua mdomo kujibizana na mtu yeyote kuhusiana na ishu hiyo.
Hamisa hatafungua mdomo kuzungumza chochote kuhusiana na mtoto wake na siyo mjinga kunyamaza, ila tu hatutaki malumbano na mtu,” alisema mama Mobetto.
Comments
Post a Comment