BREAKING: Wabunge wa Upinzani watoka nje ya Bunge


Wabunge wa Ukawa wasusia na kutoka nje shughuli ya kuapishwa kwa wabunge wa viti maalum 7 wa CUF.

Wabunge hao ni wale waliopatikana baada ya Mwenyekiti wa Chama hicho Prof Lipumba kutangaza kuwavua uanachama Wabunge 8 wa chama waliokuwepo kwasababu mbalimbali ikiwemo ya maadili.

Comments

Popular posts from this blog