ANGALIA PICHA YA KWANZA MADAKTARI WALIOKOA MAISHA YA TUNDU LISSU


Dr. frank.Mh Lissu tayari ameondoka katika ardhi ya Tanzania na kwenda Nairobi Kenya kwa matibabu zaidi akiambatana na mkewe kipenzi wakili msomi Alicia Lissu sambamba na Mwenyekiti wa Chadema Mh. Freeman Mbowe, na Mh. Peter Misigwa.
Comments
Post a Comment