ANGALI PICHA WEMA SEPETU AKIWA MAHAKAMANI KWENYE KESI YAKE,SHAHIDI AFICHUA ALIPOIKUTA BANGI

Hayo yamesemwa na ofisa wa ofisi ya Mkuu wa Upelelezi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Inspekta Willy akimweleza Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, wakati akiongozwa na Wakili wa Serikali, Constantine Kakula. Inspekta Willy anakumbuka Februari 4, mwaka huu aliitwa na mkuu wake wa kazi na kupewa jukumu la kufanya upekuzi nyumbani kwa

Aliongeza kwamba baada ya hapo walifanya uchunguzi ndani ya chumba cha wafanyakazi wa ndani wa kike, walikuta msokoto wa bangi uliotumika ndani ya kibiriti na baadaye walijaza hati ya ukamataji, kisha kuondoka na Wema hadi kituo cha polisi.Aidha shahidi huyo aliiomba mahakama ipokee kielelezo hicho mbele ya Mahakama ambapo wakili wa utetezi, Peter Kibatala, alipinga kupokelewa kwa hati hiyo, akidai ina mapungufu ya kisheria. Kutokana na mvutano huo, Hakimu Simba ameahirisha kesi hiyo hadi kesho kwa ajili ya kutoĆ uamuzi wa kupokea kielelezo hicho ama la. NA DENIS MTIMA/GPL
Comments
Post a Comment