
LEO ni siku ya uchaguzi nchini Kenya na
Wakenya
wengi wamejitokeza kupiga kura. Vituo vya kupigia kura vilifunguliwa
saa 11:00 asubuhi. Mpaka sasa, wagombea wanaochuana vikali, Odinga na
Kenyatta, wamepiga kura katika maeneo tofauti.

Odinga akipiga kura.
Rais Uhuru Kenyatta amepiga kura kwenye shule ya msingi ya Mutomo na
amesikika akiwaomba Wakenya wote wafanye uchaguzi huo kwa amani.

Kenyatta akipiga kura.
Upande mwingine, Odinga amepiga kura katika shule ya Kibra, Nairobi. Ikumbukwe kuwa Odinga anagombea kwa mara ya nne sasa.
Comments
Post a Comment