RAIS MAGUFULI ATAJA KITU KINACHOMKERA TAKUKURU
Rais
Magufuli ameyazungumza hayo leo hafla ya kuwaapisha viongozi mbalimbali
Ikulu jijini Dar es salaam akiwemo Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU.
Hata
hivyo Rais Magufuli ameipongeza TAKUKURU kwa kazi wanayoifanya lakini
huku akitaka juhudi ziongezwe zaidi ili watu wote wanaojihusisha na
vitendo vya rushwa vya kutoa na kupokea rushwa washughulikiwe kwa mujibu
wa sheria.
Comments
Post a Comment