CUF Wazichapa Kavukavu Mahakama Kuu ya Tanzania DSM



Wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF) wanaomuunga mkono Mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na Msajili wa Vyama, Prof. Ibrahim Lipumba na wanaomuunga mkono Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif, wamezichapa konde Mahakama Kuu Kanda ya Dar leo wakati wa kesi ya wabunge waliofutwa uanachama


 Aidha wabunge hao waliiomba mahakama kuzuia utekelezaji wa Uamuzi wa Baraza Kuu la CUF kuwavua uanachama.

Kesi hiyo inatarajiwa kutolewa uamuzi leo amahakamani hapo.

Comments

Popular posts from this blog