Ruby Amuanika Baba Kijacho Wake
BAADA ya kufanya vizuri na baadhi ya ngoma zake kama Na Yule, Sijutii, na nyingine nyingi, staa wa Bongo Fleva, Ruby, amemuanika baba kijacho wake kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Huyu ndiye Jamali mpenzi wa Ruby
“My prince charm, my smile maker, Baba princess Ruby”
NA ISRI MOHAMED/GPL
Comments
Post a Comment