Mwana FA: Kuoa mapema kuna faida kubwa

Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hip, Mwana FA amedai amegundua kuoa mapema kuna faida nyingi ambapo amedai humfanya mtu atulie na kuanza kufocus katika maisha mapema.

Rapa huyo ambaye aliingia kwenye maisha ya ndoa mwaka mmoja uliopita, amesema ni kweli msanii akioa anatakiwa kubadiika kutoka katika mfumo wa maisha yake ya kawaida ili kuendana na mfumo mpya wa maisha ndani ya ndoa.

Comments

Popular posts from this blog