MH. RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI KIGOMA AKITOKEA KAGERA, AZINDUA MIRADI YA MAENDELEO NA KUHUTUBIA WANANCHI KWENYE MIKUTANO YA HADHARA AKIWA NJIANI
Rais wa
jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia
wananchi wa Kakonko kabla ya kuzindua Ujenzi wa barabara ya Kibondo
-Nyakanazi yenye urefu wa kilometa 54,katika mkoa wa Kigoma Rais yupo
mkoani Kigoma kwa Ziara ya siku Tatu
Rais wa
jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikazia jambo
wakati akiwahutubia wananchi wa Kakonko Kibondo katika mkoa wa Kigoma
Rais yupo mkoani Kigoma kwa Ziara ya siku Tatu
Wananchi
wa Wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma wakisikiliza Hotuba ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa
Uzinduzi wa Ujenzi wa Barabara ya Kibondo -Nyakanazi yenye urefu wa
kilometa 54,Sherehe zilizo fanyika katika uwanja wa Standi Mpya ya
Mabasi Kakonko katika mkoa wa Kigoma Rais yupo mkoani Kigoma kwa Ziara
ya siku Tatu
Baaadhi
ya Viongozi wa vyama vya siasa na wananchi wa Wilaya ya Kakonko Mkoani
Kigoma wakisikiliza Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa Uzinduzi wa Ujenzi wa Barabara ya
Kibondo -Nyakanazi yenye urefu wa kilometa 54,Sherehe zilizo fanyika
katika uwanja wa Standi Mpya ya Mabasi Kakonko katika mkoa wa Kigoma
Rais yupo mkoani Kigoma kwa Ziara ya siku Tatu
Rais wa
jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na
viongozi mbalimbali wakifungua kitambaa kuashiria kuweka jiwe la msingi
la ufunguzi wa Barabara kiwango cha lami km… kutoka Kakonko hadi
Nyakanazi
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na
viongozi mbalimbali serikali wakikata Utepe kuashiria kuweka jiwe la
Msingi la Uzinduzi wa Ujenzi wa Barabara ya Kibondo -Nyakanazi yenye
urefu wa kilometa 54 kwa kiwango cha lami.
Rais wa
jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia
wananchi wa mji wa Kibondo wakati akiwa safarini kutoka Ngara kuelekea
Mkoani Kigoma
Rais wa
jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na kijana mwenye ulemavu amabye ni fundi wa kushona nguo ndugu Aron
Michael Kapililo mkazi wa Kibondo ambaye alisimiana na mh rais alipokuwa
amesimama kibondo kusalimiana na wananchi akiwa safarini kutoka Ngara
kuelekea Mkoani Kigoma
Rais wa
jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
mamia ya wananchi wa kijiji cha Kifura Kibondo Mkoani kigoma waliokuwa
wamesimama njiani ili kusalimiana na mh Rais akiwa njiani safarini
kutoka Ngara kuelekea Mkoani Kigoma
Mamia ya
wakazi wa Kasulu Mkoani Kigoma waliojitokeza kumsikiliza Rais wa jamhuri
ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa uzinduzi wa
ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63
Kidawe – Kasulu.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
mamia ya wananchi wa Mamia ya wakazi wa Kasulu Mkoani Kigoma
waliojitokeza kumsikiliza Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango
cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe – Kasulu.

Mke wa
Rais Mama Janeth Magufuli akiwapungia Mikono kwa Mamia ya wakazi wa
Kasulu Mkoani Kigoma waliojitokeza kumsikiliza Rais wa jamhuri ya
muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa uzinduzi wa
ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63
Kidawe – Kasulu.
Rais wa
jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
baadhi ya viongozi walioshiriki uzinduzi wa uzinduzi wa ujenzi wa
barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe – Kasulu

Mbunge wa Kigoma mjini Mh. Zotto Kabwe mara baada ya wa uzinduzi wa
ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63
Kidawe – Kasulu
Rais wa
jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
viongozimbalimbali wa mkoa wa Kigoma akikata utepe kuashiria Uzinduzi
wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63
Kidawe – Kasulu Mkoani Kigoma,
Rais wa
jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembea kwa
miguu huku akiwapungia mkono wananchi waliokuwa wamefurika njiani mara
baada ya Uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye
urefu wa kilometa 63 Kidawe – Kasulu Mkoani Kigoma,
Comments
Post a Comment