ACACIA Yakubali Kulipa Mirabaha Iliyomo Kwenye Sheria Mpya Madini
Balozi
wa Canada nchini na Mwenyekti wa Barrick Gold Corporation (mmiliki
mkubwa wa Acacia) Prof. Thornton wakiongea na waandishi wa habari Ikulu
Dar. (Picha na Maktaba).
Kampuni inayomiliki Makampuni ya Uchimbaji wa Madini ya ACACIA imesema italipa mirabaha iliowekwa katika sheria mpya za madini.
Sheria mpya ya madini inawataka wawekezaji katka sekta hiyo kulipa asilimia 6 ya mirabaha ikiwa ni ongezeko la asilimia 2 zilizokuwepo awali, ambapo asilimia 1 ni kwaajili ya usafirishaji kwenda nje.
Comments
Post a Comment