Upinzani Wampeleka Spika Ndugai Mahakamani
Wabunge Watatu Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo Chadema Wamemfungua
Mashitaka Mahakama Kuu Ya Dodoma Kupinga Uamuzi Wa Bunge Kuwapa Adhabu
Halima Mdee, Estar Bulaya Na John Mnyika . Mdee, Mnyika Na Bulaya
Wawashitaki Spika Na Mwanasheria Mkuu Hakuna kanuni inayosema Spika anao
owezo wa kumfungia Mbunge siku saba. Haipo, bali anaingiza kanuni zake
mwenyewe kutoka kichwani mwake.
Comments
Post a Comment