RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA NIGERIA MHE. OLUSEGUN OBASANJO IKULU DAR ES SALAAM
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimlaki
Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo aliyemtembelea Ikulu
jijini Dar es salaam leo Juni 20, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo
aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 20, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimsindikiza Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo baada ya
kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 20, 201
PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment