Jaji Mwengine wa Mahakama kuu ajiuzulu



Rais John Magufuli ameridhia ombi la  Kujiuzulu kuwa Jaji wa Mahakama kuu Nchini Mwenda Judith Malecela.

Taarifa kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu inasema Leo Juni 20, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli ameridhia ombi hilo.

Comments

Popular posts from this blog