Faida ya kula karoti



Ulaji wa karoti kwa wingi, hasa karoti yenye hali ya ubichi husaidia kutibu magonjwa yafutayo;

1. Huongeza kinga za mwili.
Pia ni chanzo kizuri cha vitamin na husaidia kuongeza kinga ya mwili hivyo kusaidia mwili kutopata magonjwa.

2. Husaidia kuona vizuri.
vitamin A ambayo ina patikana kwa wingi husaidia kuongeza uwezo wa kuona na mawasiliano ya seli.
Pia ina madini kama sodiam,sulphur,chlorine na iodine.

3. Husaidia matatizo kutibu matatizo ya ngozi.
Juisi ya caroti husaidia sana katika kutibu ngozi iliyo kauka.

4. Kutibu vidonda vya tumbo.
Ulaji wa mara kwa mara hupunguza uwezo wa kupata vidonda vya tumbo pamoja na madhara mengine kwenye mfumo wa chakula.

Comments

Popular posts from this blog