DIAMOND PLATINUMS AFICHUA SIRI NZITO KUHUSU WEMA SEPETU KWENYE CHIBU PERFUME
Diamond
amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa, yeye na Wema wanakutana
na kuongea sana na wakati mwingine hushauriwa mambo mengi ya kibiashara
na mwanadada huyo ambae alikuwa mpenzi wake .“Mimi na Wema labda watu
hawajui sisi tunaongea sana wakati mwingine tunakutana tu sana lakini
sio kwenye media. Tushakuwa kila mtu ana mahusiano yake tofauti yeye ana
familia yake hata ukiangalia katika Perfume yangu lile neno THE SCENT
YOU DESERVE alilitoa Wema” alisema Diamond.
Muimbaji huyo kwasasa yupo kwenye mahusiano ya Zari na tayari wamefanikiwa kupata watoto wawili.
Comments
Post a Comment