WACHIMBAJI WA MADINI WAFARIKI KWA KUKOSA HEWA MGODINI TANZANIA
Wananchi
wa Msuluti kata ya Magulilwa wilaya ya Iringa wakiwa wamebeba mmoja
kati ya miili ya wachimbaji wadogo wawili waliokufa mgodini kwa kukosa
hewa leo
Miili ya wachimbaji wadogo wawili katika mgodi ya Mamweli Msigwa ukiingizwa kwenye gari la polisi
Kamanda
wa polisi mkoa wa Iringa Julius Mjengi katikati mwenye kofia nyeusi
akionyeshwa shimo la mdogi wa dhahabu ambalo limesababisha vifo vya watu
wawili
Wananchi wakiwa eneo la tukio
Askari polisi na wananchi wakitazama mgodi huo uliouwa
Milili ya wachimbaji wadogo wawili walipoteza maisha mgodini leo
Kamanda
wa polisi mkoa wa Iringa Julius Mjengi kushoto akitazama shimo la mgodi
katika kijiji cha Msuluti kata ya Magulilwa wilaya ya Iringa ambalo
wachimbaji wawili wadogo wawili walipoteza maisha kwa kukosa hewa wakati
wakichimba madini leo asubuhi
Mmiliki wa mgodi huo Samweli Msigwa kushoto akihojiwa na polisi ,katikati ni kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Julius Mjengi
Kamanda
wa polisi mkoa wa Iringa Julius Mjengi kushoto akitazama shimo la mgodi
katika kijiji cha Msuluti kata ya Magulilwa wilaya ya Iringa ambalo
wachimbaji wawili wadogo wawili walipoteza maisha kwa kukosa hewa wakati
wakichimba madini
.
Picha zote kwa hisani ya MatukiodaimaBlog
Comments
Post a Comment