TRA yachunguza mapato ya Diamond

Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imetanabaisha kuwa wameanza kufuatilia vyanzo vya mampoto vya Msanii nyota wa Muziki wa Bongo Flavar Nasib Abduli ( Diamond Platnum) ili  kumpangia kodi Srtahiki nayapaswa kulipa.

Akizungumza na Waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo, amesema kuwa  TRA inazungumza na Diamond kuhusu nyanzo vyake vya mapato .

“Tuko kwenye hatua za awali za mazungumzo bado hatujakadiria kodi amnayopaswa kulipa Diamond, na kwa bahatio nzuri tumekaa naye na bado tuko kwenye mazungumzo''.amesema Kayombo.

Comments

Popular posts from this blog