PICHA: MVUA KUBWA ILIVYOPOROMOA MIAMBA LUSHOTO LEO




Taarifa tulizozipata kutoka wilani Lushoto kutoka kwa mashuhuda wa matukio hayo zinasema mvua kubwa zinaendelea kunyesha nnchi zimeendelea kuketa madhara kwa wakazi wa wilaya hiyo ya mkoa wa Tanga.
Tunaambiwa kuwa njia ya mombo Lushoto haipitiki, na kwamba  magari yameangukiwa na miamba ya mawe iliyoporomoka barabarani..

Ujumbe unaandikwa
'Naombeni kila mtu na kwa imani yake tuwaombee dua  ndugu zangu waliopo wilaya ya Lushoto  MUNGU awanusuru na mvua kubwa inayoendelea kunyesha usiku na mchana ,njia ya mombo Lushoto  haipitikia magari  yameangukiwa na ngema zenye mawe makubwa na inasemekana kuna waliopoteza maisha !!'

Comments

Popular posts from this blog