MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BNGENI MJINI DODODA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Freeman Mbowe, bungeni mjini Dodoma Mei 11, 2017 .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Nkasi, Ally Bungeni mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu bungeni mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama
bungeni mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Rombo Roman Joseph
Selasini, kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 11, 2017, katikati
ni Mbunge wa Vunjo na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Francis Mbatia,
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments
Post a Comment