Makamu wa Rais, Samia Suluhu Kuongoza Kuaga Wanafunzi Waliofariki Arusha Kesho
Makamu wa Rais, Samia Suluhu kesho saa mbili asubuhi ataongoza wakazi wa Arusha katika Uwanja wa Sheikh Abeid Karume kuaga miili ya wanafunzi waliofariki katika ajali ya gari Arusha ambapo serikali imegharamia sanda na majeneza kwa wanafunzi wa shule Lucky Vincent waliopoteza maisha jana kwenye ajali.
Akitoa taarifa hiyo leo
Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro, amesema taarifa za awali
zinaonyesha tayari serikali imekwishalipia gharama za majeneza na sanda
za kuhifadhia miili ya marehemu ambao kesho wanatarajiwa kufanyiwa ibada
katika Uwanja wa heikh Amri Abeid.
Comments
Post a Comment