Majani ya mpapai husaidia kutibu magonjwa yafuatayo.

Habari yako mpenzi msomaji wa phars blogspot, ni matumaini yetu u mzima wa Afya tele na unaendelea na pilikapilika za hapa na pale katika kuyasaka mafanikio. 
Lakini huwezi kuyapa mafanikio kama hatakuwa umeimarika kifya.  Hivyo kwa kuzingatia hayo tumeona ni vyema tukuletee makala hii ambayo itakusaidia katika kuimarika kiafya.
Umuhimu wa majani ya papai katika kutibu magonjwa yafutayo:
Majani ya papai husaidia kwa kiwango cha juu katika kutibu majeraha ya vidonda.
Unachotakiwa kufanya ni.
Chukua majani ya papai kisha yatwange twage mpaka uhakikishe yamesagika kabisa.  Kisha yapake majani hayo katika kidondo kisha yaache kwa muda wa saa moja hadi uhakikishe yale maji maji ya kwenye majani yameingia katika kidonda.
Kumbuka: kuweka kidonda hicho katika hali ya usafi kila wakati ili kuzuia bakteria kuingia katika kidondo.
Majani ya mpapai husaidia kutibu shinikizo la damu ( blood pressure).
Unachokiwa kufanya ni
Chemsha maji ya moto, maji yakishachemka yaepue, kisha chukua majani ya mpapai yaweke ndani ya maji hayo yamoto.
Uache mchanganyiko huo upoe, kisha yatoe majani hayo, kisha kunywa mchanganyiko huo.

Comments

Popular posts from this blog