Lipumba, Ngwirwa waonekana Ikulu katika Dhifa ya Jacob Zuma



Mwenyekiti wa Chama Cha wanannchi CUF anayetambuliwa na Msajili wa vyama vya siasa nchi Professa  Ibtahi Lipumba na aliyekuwa Mgombea urais kupitia chama cha Act-wazalendo kipekee wakiwa kama wananwakilisha vyama pinzania walioneka kwenye Dhifa ya kumlaki Rais wa Afrika Kusin jacob Zuma.


Kwa upekee sana viongozi hao walionekana kwenye Dhifa hiyo iliyoandaliwa na Rais John Magufuli.
Viongozi wengeine ni pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Agostino mlema

Comments

Popular posts from this blog