KIJANA ALIYEMUUA MPENZI WAKE NA KUMCHOMA MOTO AKAMATWA SOUTH AFRIKA

Mwili wa binti huyo ulikuwa ukiwa umechomwa na ilikuwa vigumu kuutambua.
Wanawake
wengi wa nchini humo kupitia mitandao ya kijamii walionyesha
kukasirishwa na kitendo hicho na kulaumu vitendo vya uonevu dhidi ya
wanawake.
Nchi ya
Afrika Kusini imeripotiwa kuwa na matukio mengi ya udhalilishaji na
vitendo vya uonevu kwa wanawake ikiwamo ubakaji kwa muda mrefu sasa.
Huyu Ndio Kijana Aliyemuaa Mpenzi wake
Comments
Post a Comment