BAJETI YA WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO YAPITISHWA
Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (katikati),
akimsikiliza Katibu Mkuu (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga
(Kulia), mara baada ya kumaliza kuwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo kwa
mwaka wa Fedha 2017/2018. Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Bandari
Tanzania (TPA), Eng. Deusdedit Kakoko.
Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akipongezana na
Watendaji wa Wizara hiyo mara baada ya kumaliza kuwasilisha Bajeti ya
Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2017/2018.
Watendaji
wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wakipongezana mara baada
ya Bunge la Bajeti kupitisha Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha
2017/2018.
Mtendaji
Mkuu Wa Shirika la Reli Nchini (TRL), akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa
Serikali Bw. George Masaju mara baada ya Bunge la Bajeti kupitisha
Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2017/2018.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Comments
Post a Comment