Wema Sepetu arudi kwa kasi bongo movie



Tanzanian SweetieHeart Wema Sepetu amewataka watanzania ukaa mkao wa kula kwa kazi yake mpya

Hii ni kufuata mfukulizo wa post zake kuhusu ujio wake mpya wa kazi zake katika kuigiza, amewaasa wabongo kuwapa ushirikiano wa dhati kabisa kwani amedhamiria kuirudisha Bongo Movies katika kiwango cha enzi zile za Kanumba

Comments

Popular posts from this blog