Umati Wamyoshea Mabango Waziri wa sanaa kuhusu Roma Mkatoliki
Katika hali isiyokuwa ya kawaida leo kile kipindi cha XXL kilichokuwa
kinaruka moja kwa moja toka Dodoma kimegeuka majonzi baada ya mamia ya
vijana kunyoosha mabango yaliyoandika FREE ROMA.
Watanganzaji walilazimika kubadili interview na kumwambia naibu waziri
habari utamaduni na michezo Antony Mavunde kwamba hawawezi kupuuzia
mabango waziri aseme chochote.
Naibu waziri akasema anasikitishwa na kitendo hicho lakini ana taarifa kwamba jeshi la polisi litatoa taarifa punde. Baada ya hapo kwenye segment ya hot 3 at 3 zimepigwa nyimbo mbili za ROMA ambapo umati umepagawa na kupiga mayowe.
Comments
Post a Comment