OFISI YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA MAHESABU YA SERIKALI YAWASILISHA RIPOTI YAKE KWA MWAKA WA FEDHA UNAOISHIA 2015/2016.


Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) Prof Musa Assad akizungumza na waandishi wa Habari(hawapo Pichani) kuhusu Ripoti ya Ofisi yake kwa mwaka wa Fedha unaoisha 2015/2016 Leo Aprili 13,2017 Mjini Dodoma.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) Prof Musa Assad na Mwenyeketi Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe.Naghenjwa Kaboyoka wakiangalia moja ya kitabu cha Ripoti kutoka Ofisi yake wakati alipokutana na na waandishi wa Habari(hawapo Pichani) kuhusu Ripoti ya Ofisi yake kwa mwaka wa Fedha unaoisha 2015/2016 Leo Aprili 13,2017 Mjini Dodoma.

Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO Dodoma.

Comments

Popular posts from this blog