Baada ya mastaa mbalimbali kuguswa juu ya stori ya Roma mkatoliki na
wenzake watatu kuchukuliwa na watu wasiofahamika kwenye Studio za Tongwe
Records na kupelekwa sehemu isiyojulikana, sasa leo April 7 2017 Mbunge
wa Mtama (CCM) Nape Moses Nnauye ameonesha hisia zake juu ya tukio
hilo.
Kupitia account yake ya twitter Nape Nnauye ameyaandika maneno haya
matatu kuhusu Roma…>>>”Roma! Oooooh No!” – Nape Nnauye.
Comments
Post a Comment