ISHU YA ROMA YAMFANYA DAVINA AMUUNGE MKONO WEMA SEPETU

Halima Yahya ‘Davina’.
BAADA ya supastaa wa filamu Wema Sepetu kuwashutumu wenzake wa Bongo Muvi kwa kutosapoti harakati za kupiga kelele kufuatia kupotea kwa Mwanamuziki wa Hip Hop, Ibrahimu Mussa ‘R.O.M.A’ kwa siku tatu na kusababisha kutoleana maneno makali mtandaoni na muigizaji mwenzake Vincent Kigosi ‘Ray’, Halima Yahya ‘Davina’ amemuunga mkono mrembo huyo wa zamani wa Tanzania akisema wapo wasanii ambao hawawasapoti wenzao wanapokuwa kwenye matatizo.

Wema Sepetu.
Akistorisha na Risasi Vibes, Davina alisema waraka alioandika na Wema kwenye ukurasa wake wa Instagram kwamba wasanii wa filamu hawana ushirikiano na wenzao hasa wanapokuwa katika matatizo ni kweli ingawa siyo wote.
“Wema alichosema kipo Bongo Muvi, kuna watu hawana ushirikiano na wenzao, mimi huwa nawasapoti sana wenzangu, hata yeye alipokuwa Sentro nilikwenda kumuona, kwenye suala la ROMA karibu asilimia 50 ya wasanii waliposti katika kurasa zao,” alisema na kuwataka wasanii kushirikian

Comments

Popular posts from this blog