Dkt Mwele Aliyetumbuliwa na JPM, achukuliwa umoja wa mataifa

Dkt. Mwele Malecela aliyekuwa Mwanamke wa kwanza kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NIMR na kisha 'kutumbuliwa' baada ya kutangaza uwepo wa homa ya Zika nchini, sasa anakuwa Mkurugenzi wa Vituo vya kuzuia na kudhibiti magonjwa Afrika wa Umoja wa Mataifa (WHO-AfRO)

Mwele alipata kuwa mwanamke wa kwanza kuongoza Taasisi ya Utafiti ya Magonjwa ya Binadamu(NIMR), baadae uteuzi wake ulitenguliwa.

Comments

Popular posts from this blog