NAPE AMKABIDHI RASMI OFISI WAZIRI MWAKYEMBE
- Get link
- X
- Other Apps
Katibu
Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole
Gabriel akiwakaribisha Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.
Dkt Harrison George Mwakyembe na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Mhe.
Nape Moses Nnauye kwa ajili ya makabidhiano rasmi ya Ofisi yaliyofanyika
katika Ofisi za Wizara Mjini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura
akitoa neno kwa Waziri mpya na Waziri aliyepita wakati wa makabidhiano
rasmi ya Ofisi yaliyofanyika katika Ofisi za Wizara Mjini Dodoma.
Mhe. Nape
Moses Nnauye aliyekuwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
akitoa shukurani zake kwa watendaji wa Wizara kwa muda wote aliotumikia
Wizara katika makabidhiano rasmi ya Ofisi yaliyofanyika katika Ofisi za
Wizara Mjini Dodoma.
Waziri wa
Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison George Mwakyembe
akimshukuru aliyekuwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.
Nape Moses Nnauye kwa kuitumikia Wizara kwa muda wote aliokuwepo.
Waziri wa
Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison George Mwakyembe na
aliyekuwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses
Nnauye wakitia saini hati za makabidhiano rasmi ya Ofisi yaliyofanyika
katika Ofisi za Wizara Mjini Dodoma akishubudia utiaji wa saini ni
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof Elisante Ole Gabriel.
Waziri wa
Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison George Mwakyembe na
aliyekuwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses
Nnauye wakikabidhiana hati za makabidhiano rasmi ya Ofisi yaliyofanyika
katika Ofisi za Wizara Mjini Dodoma.
Waziri wa
Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison George Mwakyembe na
aliyekuwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses
Nnauye wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri Mhe. Anastazia
Wambura ,Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof Elisante Ole Gabriel, Naibu
Katibu Mkuu Bibi Nuru Millao na watendaji wa Wizara mara baada ya
mkabidhiano rasmi ya Ofisi yaliyofanyika katika Ofisi za Wizara Mjini
Dodoma.
Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUSM Dodoma.
- Get link
- X
- Other Apps
Comments
Post a Comment