IRENE UWOYA AMLIPUA WEMA SEPETU NA WENZAKE,AWAPA MAKAVU LIVE
Baada ya
kashikashi za hapa na pale ya wasanii wa bongo movie kuingia kwenye
siasa huku Wema Sepetu akihamia CHADEMA na kusema anaidai CCM, swahiba
wake, Batuli amekanusha. Wakati vita vya maneno vikiendelea, mwenzao,
Irene Uwoya amewachana.
Irene ametumia ukurasa wake wa Instagram kuandika maneno yenye busara ndani:
Katika
maisha siku zote ushauri unaruhusiwa kutolewa au kupokelewa… Lakin sio
lazima mtu kupokea ushauri unaotolewa… Kila mtu anauhuru wakuamua kitu
ambacho anahisi kinamfaa kwenye maisha sababu… Sazingine kwenye maisha
Kuna sehemu inafika unacho jiskia kwenye moyo wako sio rahisi mtu
mwingine kujiskia … Sasa ni mbaya sana kuishi kwa hisia… Ifikie Wakati
tujitaidi kuheshimu hisia Za mtu… Lakin pia kunavitu vingine nazani
Nivyema vkabaki kwa wausika wavinaowahusu…yani sio lazima kuongea kila
kitu kwenye jamiii… Watu wanatamani sazingine kuskia vtu ambavyo
wanahisi vinafaida kwa Jamaniii… Kunavitu vingine ukiongea havina
maana.”
Mfano mim
ni CCM damu… Lakin kunavitu vinaboa sanaaa Kweli kada mzima wa CCM
unasimama hazarani unasema tulilipwa kufanya campaign? hatakama lakini
unafundisha Nin Jamiii? Unafundisha jamiii kwamba yote tuliyoongea
kuhusu CCM hatukuyaamanisha nikwasababu tulilipwa? Unaiambia jamiii
ulikuwa tayari kuwadanganya na mliwadanganya sababu mlilipwa? Hivi
Kweli? Kwahiyo jamiii ione Chochote Tutachoonge wasikiamini maana yake
tutakuwa tumelipwa? Kwahiyo ata mnayoyaongea mnataka kusema mmelipwa?
Minazani tujifunze kunyamaza sazingine kama hamna ulazima wakuongea
mnaweza kuhisi mmnajenga kumbe mnaharibu kabisaaa… Embu Tufanye Kazi
zinazo tuhusu Jamaniii… Nigeria wenzetu sasa wako Hollywood wanaigiza
huko… Sisi ata nigeria kwenyewe bado hatuja pasua… Lakin hapa Tupo busy
kushabikia ujinga na vitu vya kipumbafu na visivyo na Msaada kwajamiii…
Kwastaili hiii… Hollywood tutaiskia na kuiona kwenye TV.no
Comments
Post a Comment