Hatimaye RC Paul Makonda aanza kazi tena leo hii baada ya kurejea toka Afrika ya Kusini

FB_IMG_1489400602390Picha ikimuonyesha RC Makonda akizindua ujenzi wa barabara ya zege leo jijini Dar.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amezindua Barabara ya Shimo la Udongo, Kilwa EPZ iliyopo Kurasini ya Umbali wa Kilomita 1.
– Barabara hiyo iliyojengwa kwa kiwango cha zege na kampuni ya wazalendo ya Grant Tech imegharimu takribani milioni 350.

Comments

Popular posts from this blog