RC MAKONDA AKABIDHI ORODHA YA MAJINA 97 YA WAUZA DAWA YA KULEVYA KWA KAMISHNA MKUU WA MAMLAKA YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA JIJINI DAR LEO
Mkuu wa
mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akionyesha majina mengine 97 ya wauza
Dawa za Kulevya awamu ya tatu kwa Bw. Rogers William Sianga kamishna
Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya ili yaanze
kushughulikiwa.RC Makonda amesema awamu hii itaitikisa nchi kwani
wameanzia toka awamu ya tatu iliyoongozwa na Rais Mstaafu Ali Hassan
Mwinyi, ya nne Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na hii ya Tano
inayoongozwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli, Katika mkutano uliofanyika
kwenye ukubi wa Mwalimu Nyerere JNCC
Mkuu wa
mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akikabidhi majina mengine 97 kwa
kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa
Bw. Rogers William Sianga, kuwa ili yaanze kushughulikiwa.Rc Makond
amesema awamu hii itaitikisa nchi kwani wameanzia toka awamu ya tatu
iliyoongozwa na Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, ya nne Rais Mstaafu
Jakaya Mrisho Kikwete na hii ya Tano inayoongozwa na Rais Dk. John Pombe
Magufuli.
Mkuu wa
mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akizungumza katika mkutano huo,ambapo
amekabidhi majina mengine 97 ya awamu ya tatu kwa Kamishna Mkuu wa
Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya,Bw. Rogers William
sianga ili yaanze kushughulikiwa.
Mkuu wa
mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akizungumza jambo na Kamishna Mkuu
wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, Rogers
William Sianga katika mkutano maalum wa kutoa tathmini ya kampeni ya
kutokomeza biashara haramu ya madawa ya kulevya katika mkoa wa Dar es
salaam na nchi nzima kwa ujumla.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Kamishna Saimon Sirro akizungumza wakati akitoa taarifa ya kampeni hiyo leo.
Comments
Post a Comment