RAIS YOWERI MUSEVENI AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU MBILI NA KUREJEA NCHINI KWAKE
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea
Mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili
katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Terminal 1 kwa
ajili ya kurejea nchini kwake Uganda mara baada ya kumaliza ziara yake
ya siku mbili hapa nchini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Terminal 1 kabla ya kuondoka ma kurejea nchini kwake.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsindikiza kuelekea kwenye ndege mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri
Kaguta Museveni mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili hapa
nchini
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni wakati nyimbo za
Mataifa mawili zilipokuwa zikipigwa katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Julius Nyerere Terminal 1.
Picha
namba 10. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa wakifurahia jambo wakati walipokwenda kumsindikiza
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni katika uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere Terminal 1.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kabla hajapanda ndege
na kurejea nchini kwake Uganda mara baada ya kumaliza ziara yake hapa
nchini.
Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta
Museveni kabla hajapanda ndege na kurejea nchini kwake Uganda mara baada
ya kumaliza ziara yake hapa nchini.
Mmoja wa Mtumbuizaji Uwanjani hapo akionesha umahiri wake wa kupuliza Tarumbeta.
Benderea za Matifa mawili ya Uganda na Tanzania zikipepea Uwanjani hapo.
PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment